Viwango vya kubadili fedha Oktoba 24, 2025
October 24, 2025 9:02 am ·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Oktoba 24, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest
6 hours ago
·
Kelvin Makwinya
HESLB yatangaza majina waliopata mikopo awamu ya kwanza 2025/26
6 hours ago
·
Fatuma Hussein
INEC yatangaza ratiba mpya uchaguzi udiwani Kata za Mindu, Mzinga, Kirua
8 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Mahakama yakataa ombi la dhamana ya Lissu, kesi yake kuendelea Novemba 3, 2025
9 hours ago
·
Fatuma Hussein
How Bahi’s Sh100 million bus stand became a useless investment