Viwango vya kubadili fedha Januari 30, 2026

January 30, 2026 9:53 am · Kelvin Makwinya
Share
Tweet
Copy Link

Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania vinavyotolewa na Benki za CRDB na NMB kwa matumizi ya leo Januari 30, 2026 huku Dola ya Marekani ikizidi kuongezeka thamani dhidi ya Shilingi ya Tanzania.

Viwango hivi hubadilika kila siku kulingana na mwenendo wa soko la fedha, na vina umuhimu mkubwa kwa wafanyabiashara, wawekezaji na walipakodi, hasa katika kufanya malipo ya ada, kodi pamoja na ununuzi na uingizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi.

Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow Us on TikTok

Subscribe to Our YouTube Channel

Subscribe

Loading videos...

Loading videos...

Loading videos...

Enable Notifications OK No thanks