Zaidi ya nusu ya wakazi Maswa hawafamu hata mkutano mmoja wa kijiji uliofanyika 2021
February 23, 2022 7:43 am ·
Herimina
Dar es Salaam. Utafiti wa awali ngazi ya kaya Maswa uliofanywa na Shirika la Twaweza unabainisha kuwa watu saba kati ya 10 wilayani Maswa mkoani Simiyu hawafamu hata mkutano mmoja wa kijiji ulifanyika mwaka jana katika maeneo yao.
Sababu hiyo huwafanya kutokuhudhuri mikutano hiyo ambayo ni muhimu katika mipango ya maendeleo ya kijiji na maamuzi yanayohusu maisha yao.

Latest
14 minutes ago
·
Lucy Samson
Vita ya Iran yapaisha bei ya petroli, dizeli kwa wastani wa Sh953 Tanzania
19 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Machi 31, 2026
1 day ago
·
Lucy Samson
ATCL yaripoti hasara ya Sh191.1 bilioni, CAG aanika sababu
1 day ago
·
Kelvin Makwinya
Rais Samia apokea ripoti CAG, TAKUKURU na PPRA aagiza utekelezaji wa haraka
