Video: Zingatia haya kabla ya kutafuta nyumba ya kupanga
September 16, 2020 7:01 am ·
Rodgers Raphael
- Ni pamoja na kuwa na uelewa wa mazingira ya nyumba unayotaka kupanga.
- Hakikisha unazingatia gharama za kodi, ukaribu wa huduma za kijamii na usalama wako na mali zako.
Dar es Salaam. Kelele za majirani, wizi, uchafu wa mitaa na mambo mengine ni kati ya vitu vinavyoweza kukufanya usifurahie nyumba yako ya kupanga.
Kinachokufanya upate changamoto hizo ni kushindwa kuzingatia mambo muhimu mabayo unatakiwa kuyafahamu kabla ya kupata nyumba ya kupanga.
Baadhi ya mambo hayo ni pamoja na kodi, upatikanaji wa huduma za kijamii, usalama na ubora wa nyumba unayokwenda kupanga.
Unataka kufahamu zaidi? Tazama video hii.
Latest
12 hours ago
·
Fatuma Hussein
Mwigulu alaani vitendo vvya uvunjifu wa amani
12 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya Disemba 9
13 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Balozi 16 za EU zalaani yaliyotokea Oktoba 29
14 hours ago
·
Fatuma Hussein
Malaria bado ni tishio duniani, maambukizi yaongezeka