Tafakari haya kabla ya kuingia kwenye ujasiriamali
November 25, 2020 6:20 am ·
Rodgers Raphael
- Ni pamoja na kuwa na nia thabiti pia kuifahamu biashara unayotaka kuifanya.
- Hakikisha una wazo bora na mtaji wa kuendesha biashara.
- Tafuta mshauri wa biashara ili kuepuka makosa.
Dar es Salaam. Wapo watu wengi wanatamani kujiajiri kwa kungia kwenye ujasiriamali lakini wanashindwa ni wapi waanzie.
Baadhi yao hufikiri kuwa ufunguo wa kuingia kwenye ujasiriamali ni mtaji pekee, hawafahamu kuwa yapo mambo mengine wanayopaswa kuzingatia ili wafanikiwe katika kile wanachokifanya.
Miongoni mwa mambo hayo ni kuwa na msukumo binafsi katika biashara yako kwani wewe ndiyo una maono na biashara yako na siyo jirani, ndugu wala rafiiki zako.
Je, unahitaji nini ili uingie kwenye ujasiriamali, tazama video hii.
Latest
20 hours ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Machi 9, 2026
4 days ago
·
Lucy Samson
ATCL kuwarudisha Watanzania waliokwama Dubai
5 days ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Machi 4, 2026
5 days ago
·
Fatuma Hussein
Bei ya maharage yaendelea kuwa kichomi Dar es Salaam