Swali la kujiuliza kwa kila anayetaka kufanikiwa katika maisha
April 10, 2021 7:59 am ·
Neema
- Jiulize wewe ni nani?
- Unafanya nini kuboresha maisha yako?
Dar es Salaam. Wewe ni nani? Ni swali muhimu ambalo kila mtu anayetaka mafanikio katika maisha lazima ajiulize. Jibu la swali hilo mara nyingi huwa kutambua nafasi au uwezo ulionao katika kuboresha maisha yako.
Ukijatambua wewe ni nani itakuwa rahisi kufika kule unakotaka kufika kwa sababu utafahamu wajibu, kazi uliyonayo kutimiza malengo uliyojiwekea.
Ukifahamu wewe ni nani basi utatumia muda wako vizuri katika kila jambo unalofanya na utafahamu kwa undani unatakiwa kufanya nini katika maisha yako.
Kama bado hujapata jibu la swali lako la “Wewe ni nani?” basi tazama video hii kufahamu undani zaidi:
Latest
18 hours ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Machi 9, 2026
4 days ago
·
Lucy Samson
ATCL kuwarudisha Watanzania waliokwama Dubai
5 days ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Machi 4, 2026
5 days ago
·
Fatuma Hussein
Bei ya maharage yaendelea kuwa kichomi Dar es Salaam