Rasmi: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania
March 19, 2021 6:30 am ·
Rodgers Raphael
- Samia Suluhu Hassan ameapa rasmi na kuwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa ndiyo mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Dar es Salaam. Samia Suluhu Hassan ameapa rasmi na kuwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa ndiyo mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Mama Samia (61) anachukua wadhifa huo baada ya Rais John Magufuli kufariki dunia Machi 17 mwaka huu katika hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam kutokana na maradhi ya moyo.
Mwanasiasa huyo ameapishwa Saa 4:14 katika Ikulu ya Dar es Salaam.
Kwa undani, fuatilia hapa wakati wa shughuli ya kuapishwa Ikulu
Latest
12 hours ago
·
Fatuma Hussein
Mwigulu alaani vitendo vvya uvunjifu wa amani
12 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya Disemba 9
13 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Balozi 16 za EU zalaani yaliyotokea Oktoba 29
14 hours ago
·
Fatuma Hussein
Malaria bado ni tishio duniani, maambukizi yaongezeka