Moto, afya, vyombo vya moto vinavyotawala soko la bima Tanzania
March 1, 2019 8:51 pm ·
Mwandishi
Robo tatu ya tozo za bima nchini zililipwa na wateja mbalimbali nchini kwa ajili ya kununua huduma za bima za majanga ya moto, afya na vyombo vya moto kati ya Januari hadi Septemba 2018, Ripoti ya Mamlaka ya Bima (Tira) inaeleza.
Ripoti ya soko kwa sekta ya bima ya Januari hadi Septemba 2018 ya Tira inaeleza kuwa jumla ya tozo za bima (General insurance premiums) za Sh449.3 bilioni zililipwa katika kipindi hicho ikiwa ni ongezeko la asilimia 4.2 kutoka Sh431.3 bilioni zilizorekodiwa muda kama huo mwaka 2017.

Latest
19 hours ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Machi 9, 2026
4 days ago
·
Lucy Samson
ATCL kuwarudisha Watanzania waliokwama Dubai
5 days ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Machi 4, 2026
5 days ago
·
Fatuma Hussein
Bei ya maharage yaendelea kuwa kichomi Dar es Salaam