Fahamu haya kuhusu matumizi ya intaneti, mitandao ya kijamii duniani
February 14, 2019 6:35 pm ·
Zahara
Kwa mujibu wa ripoti ya Dijitali ya Januari 2019 iliyotolewa kampuni ya We are social ya nchini Marekani inaeleza kuwa licha ya changamoto za usiri, udukuzi, habari za uongo na mambo mengine hasi ya maisha ya mtandaoni, bado dunia inaendelea kushikamana na intaneti na mitandao ya kijamii.
Ukuaji wa matumizi ya intaneti duniani hauonyeshi dalili yoyote ya kupungua huku maelfu ya watu wakiingia mtandaoni kila siku. Ukuaji huo ndiyo unaochochea matumizi ya mitandao ya kijamii.

Latest
19 hours ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Machi 9, 2026
4 days ago
·
Lucy Samson
ATCL kuwarudisha Watanzania waliokwama Dubai
5 days ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Machi 4, 2026
5 days ago
·
Fatuma Hussein
Bei ya maharage yaendelea kuwa kichomi Dar es Salaam