CHATI YA SIKU: Uzalishaji wa maziwa waongezeka Tanzania lakini mwenendo wa unywaji hauridhishi
November 16, 2018 11:42 am ·
Mwandishi
- Kwa wastani mtu mmoja anakunywa lita 47 za maziwa kwa mwaka ikiwa ni pungufu zaidi ya mara nne ya kiwango kinachopendekezwa na FAO cha lita 200 kwa mwaka
- Uzalishaji na usindikaji maziwa wazidi kuongezeka nchini lakini bado kuna fursa zaidi kutoka katika sekta hiyo.
Dar es Salaam. Licha ya uzalishaji na usindikaji wa maziwa kuongezeka nchini bado mwenendo wa unywaji wa maziwa kwa mwananchi mmoja mmoja siyo wa kuridhisha.
Kwa wastani mtu mmoja anakunywa lita 47 za maziwa kwa mwaka ikiwa ni pungufu mara nne ya kiwango kinachopendekezwa na Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO) kwa mtu mmoja kunywa lita 200 kwa mwaka.
Hii ndiyo hali halisi kwa takwimu chache za hivi karibuni kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Latest

20 hours ago
·
Fatuma Hussein
Rais Samia amtwisha zigo bosi mpya Tanesco
2 days ago
·
Fatuma Hussein
Wizara ya Mifugo na Uvuvi yaomba bajeti ya Sh476.65 2025/26

2 days ago
·
Fatuma Hussein
Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Mei 23, 2025

5 days ago
·
Kelvin Makwinya
Polisi yawasaka wadukuzi baada ya kuzua taharuki mtandaoni