CHATI YA SIKU: Kinachofahamika kuhusu utekelezaji wa bajeti ya Serikali mwaka 2017-2018

November 16, 2018 11:45 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Novemba 6 mwaka huu, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango aliwasilisha Bungeni Jijini Dodoma Mapedekezo ya Mpango wa Maendeleo wa taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2019/2020 ambapo miongoni mwa mambo aliyozungumzia ni utekelezaji wa bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha wa 2017/2018.

Nukta imekuletea kinachofahamika katika mapato yaliyokusanywa na Serikali na matumizi yake 

Enable Notifications OK No thanks