Profesa Ngowi afariki dunia ajalini Pwani

March 28, 2022 7:05 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Ndaki  ya Dar es Salaam, Profesa Honest Ngowi na dereva wake wamepoteza maisha katika ajali ya gari  leo asubuhi maeneo ya Mlandizi mkoani Pwani.

Taarifa zinaeleza kuwa wamefariki baada ya gari aina ya Land Cruiser walilokuwa wanasafiria kuangukiwa na lori.

Taarifa zaidi zitakujia, baki nasi.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
22 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
22 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
MAMA FATMA KARUME: Sikuolewa na Rais, niliolewa na kiongozi

MAMA FATMA KARUME: Sikuolewa na Rais, niliolewa na kiongozi

Nukta TV

Mama Fatma Karume, kuzikwa leo Septemba 22, 2026 saa 10 alasiri

Mama Fatma Karume, kuzikwa leo Septemba 22, 2026 saa 10 alasiri

Nukta TV

HUU HAPA mwenendo wa ujenzi wa Mradi wa Gesi Asilia Kimiminika (LNG) Lindi

HUU HAPA mwenendo wa ujenzi wa Mradi wa Gesi Asilia Kimiminika (LNG) Lindi

Nukta TV