Nchi 10 zilizoongoza kuleta watalii wengi Tanzania mwaka 2022
March 27, 2023 1:38 pm ·
Daniel Samson
Dar es Salaam. Kwa mujibu wa takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu za mwaka (High Frequency Data), idadi ya watalii walioingia nchini mwaka 2022 ilikuwa 1.45 milioni ikiongezeka kutoka 922,692 iliyorekodiwa mwaka juzi.
NBS imeeleza kuwa mwaka jana, Kenya ndiyo iliongoza kuingiza watalii wengi zaidi nchini ikifuatiwa na Burundi, Marekani na Ufaransa.
Latest

5 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Idara ya Uhamiaji Tanzania yatahadharisha umma na utapeli wa ajira

6 hours ago
·
Fatuma Hussein
Si kweli: TRA wametoa matokeo ya usaili wa nafasi za kazi

6 hours ago
·
Lucy Samson
Bei ya petrol, dizeli yapaa miezi minne mfululizo

8 hours ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadili fedha za kigeni Aprili 2, 2025