Mikakati ya kuboresha upatikanaji wa maji Maswa
February 7, 2022 6:37 am ·
Daniel Samson
Dar es Salaam. Katika bajeti ya mwaka 2021/22 Wizara ya Maji ilitenga Sh5.5 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maji ikiwemo vituo 16 vya kuchotea maji katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.
Kukamilika kwa miradi hiyo kutawanufaisha wananchi 109,727 wa halmashauri hiyo na hivyo kuwapunguzia tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama yanayohitajika kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo.
Latest

15 hours ago
·
Fatuma Hussein
Zaidi ya nusu ya wakazi Arusha hawana maji safi

2 days ago
·
Lucy Samson
Tanzania yatangaza kumalizika kwa ugonjwa wa Marburg

2 days ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadili fedha za kigeni Machi 13,2025

3 days ago
·
Fatuma Hussein
TRA yajivunia mafanikio haya miaka minne ya Rais Samia