Mfanyabiashara Reginald Mengi afariki dunia Dubai
May 2, 2019 5:56 am ·
Mwandishi
- Mengi aliyezaliwa mwaka 1944 mkoani Kilimanjaro na umauti umemkuta akiwa mjini Dubai, Falme za Kiarabu usiku wa kumakia leo.
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa makampuni ya IPP na moja ya watu matajiri na mashuhuri nchini Tanzania Reginald Mengi amefariki dunia.
Mengi aliyezaliwa mwaka 1944 mkoani Kilimanjaro umauti umemkuta akiwa mjini Dubai, Falme za Kiarabu usiku wa kumkia leo.
Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na vyombo vya habari alivyokuwa anamiliki vya runinga ya ITV, na Radio One.
#BREAKINGNEWS:Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dkt. Reginald Mengi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko nchini Dubai falme za Kiarabu, taarifa zaidi tutakuletea. pic.twitter.com/mMC6FhvnOU
— ITV (@ITVTANZANIA) May 2, 2019
Latest
17 hours ago
·
Fatuma Hussein
Mwigulu alaani vitendo vvya uvunjifu wa amani
17 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya Disemba 9
18 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Balozi 16 za EU zalaani yaliyotokea Oktoba 29
20 hours ago
·
Fatuma Hussein
Malaria bado ni tishio duniani, maambukizi yaongezeka