Maswali 5 ya kujiuliza kabla ya kuamini taarifa za uchaguzi mtandaoni

August 6, 2025 5:44 pm · Lucy Samson
Share
Tweet
Copy Link

Arusha. Wakati Tanzania ikiajiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu, ni kawaida kusikia au kuona taarifa nyingi zinazohusu tukio hilo katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

Lakini kabla ya kusambaza au kuimini taarifa yoyote mtandaoni ni vyema kujiuliza maswali muhimu ambayo yanaweza kukusaidia kubaini ukweli katika taarifa hizo na kupunguza wimbi la kusambaza taarifa potofu au zilizoongezwa chumvi.

Miongoni mwa maswali hayo ni pamoja na kutathmini chanzo cha habari, Je, taarifa hiyo  inatoka kwenye chanzo kinachoaminika kisheria? Mfano: Tume ya uchaguzi kama INEC, ofisi za serikali, au vyombo vya habari vilivyosajiliwa

 Masuala mengine muhimu ya kuzingatia ni pamoja na kuangalia tarehe na muktadha wa taarifa, kutokuangalia  kichwa cha habari pekee, kutafuta Uthibitisho kutoka kwa vyanzo vingine pamoja na kuchunguza  piicha, video au vielelezo vya taarifa.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
22 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
22 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Wakazi wa mabondeni Dar walivyojiandaa kukabiliana na ‘El Nino’

Wakazi wa mabondeni Dar walivyojiandaa kukabiliana na ‘El Nino’

Nukta TV

Wakazi Kigogo wahofia ‘El Niño’, walia mchepuo wa daraja uondolewe

Wakazi Kigogo wahofia ‘El Niño’, walia mchepuo wa daraja uondolewe

Nukta TV

Ufahamu 'BIPOLAR' Part 2 | Ugonjwa wa afya ya akili unaoweza kupelekea kifo

Ufahamu 'BIPOLAR' Part 2 | Ugonjwa wa afya ya akili unaoweza kupelekea kifo

Nukta TV