Mambo ya kuepuka siku ya kupiga kura
October 26, 2020 1:46 pm ·
Mwandishi
- Ni pamoja na kufanya kampeni ya aina yoyote siku hiyo.
- Usivae sare au kutumia alama za chama cha siasa.
- Hauruhusiwi kukaa kwenye kituo baada ya kupiga kura.
Dar es Salaam. Bila shaka unafahamu kuwa imebaki siku moja tu kufika Oktoba 28, tarehe ambayo inampatia haki kila Mtanzania aliyejiandikisha kupiga kura kumchagua Rais, Mbunge na Diwani amtakaye.
Ili kuepuka usumbufu, unatakiwa kuepuka baadhi ya mambo ikiwemo kuvaa sare za chama, kutumia alama za chama na hata kuimba nyimbo za chama kwani vyama vyote vilitakiwa kufanya hayo wakati wa kampeni.
Je, ni mambo gani mengine unayotakiwa kuyaepuka siku ya kupiga kura? Tazama video hii kufahamu zaidi.
Latest
1 day ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Machi 9, 2026
4 days ago
·
Lucy Samson
ATCL kuwarudisha Watanzania waliokwama Dubai
5 days ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Machi 4, 2026
6 days ago
·
Fatuma Hussein
Bei ya maharage yaendelea kuwa kichomi Dar es Salaam