Kicheko, maumivu: Hotuba ya Rais Samia mei mosi katika namba

May 1, 2021 12:42 pm · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Leo Mei Mosi ni Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa imefanyika mkoani Mwanza na kuhudhuriwa na wafanyakazi na viongozi mbalimbali wa Serikali na taasisi binafsi.

Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyekuwa mgeni rasmi. Amezungumza mambo mbalimbali kuhusu kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa umma na binafsi ikiwemo kupunguza kodi ya mshahara hadi kufikia asilimia nane kutoka asilimia tisa.

Hata hivyo, ameahidi kupandisha mishahara ya wafanyakazi mwakani baada ya ugonjwa wa corona kuathiri kasi ya ukuaji wa uchumi Tanzania. Yapo mengi aliyozungumza katika hotuba yake, tazama infografia hii

Enable Notifications OK No thanks