Jinsi ya kukabiliana na ugonjwa wa “Tonsillitis”

February 22, 2021 10:59 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ugonjwa huo husababishwa na tishu za tonsils kuzidiwa na bakteria au virusi.
  • Hali hiyo hutokana nakula chakula kilicho na vimelea hivyo au kushika mdomo bila kunawa.
  • Kuepukana na tonsillitis, epuka unywaji wa maji ya baridi sana na kula chakula bila kunawa.

Dar es Salaam. “Tonsils” ni tishu zilizopo katika kila upande wa nyuma wa koo lako. Kwa mujibu wa tovuti ya afya (webmd) tishu hizo hunasa vijidudu ambavyo winaweza kuingia katika mfumo wa hewa na kusababisha maambukizi.

Hata hivyo, pale tishu hizo zinapoelemewa na vijidudu hivyo, huvimba na kumsababishia mtu maumivu makali sehemu ya koo  ikiambatanana shida zingine kiafya.

Hali hiyo wengi huuita “Matonsezi” lakini kitaalamu ni “Tonsilitis” na  ni tatizo ambalo huwapatia maumivu wakati wa kumeza kitu na hata wakati wa kukohoa au kupiga chafya. 

Mtu ambaye amepata tonsillitis hukabiliana na dalili kadhaa ikiwemo homa, kichwa kuuma, shida ya kumeza, maumivu  ya masikio na kinywa kutoa harufu mbaya.

Viashiria vingine vya ugonjwa huu kwa mujibu wa webmd ni kuwa na sauti kavu, kupata vidonda kooni, kukosa hamu ya chakula na kuvimba sehemu ya koo au taya. 

Kwa watoto, baadhi hutapika, kupata maumivu ya tumbo na kukataa chakula.

Ugonjwa huo husababishwa na kula chakula kilicho na vimelea au kushika mdomo ukiwa na mikono michafu na kwa watoto, hili hutokea kwa kunyonya vidole baada ya kuwa wamecheza eneo ambalo sio safi.

Unawezaje kukabiliana na ugonjwa wa Tonsilitis? Tazama video hii kujifunza zaidi

Bidhaa

/
No matches found for this filter

Forex

20 May, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today

Masoko

20 May, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today

Market Movers

20 May, 2026
No active movers today
Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
🔴LIVE: ULEGA AKIWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI BUNGENI

🔴LIVE: ULEGA AKIWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI BUNGENI

Nukta TV

🔴LIVE: HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ULINZI NA IKISOMWA BUNGENI

🔴LIVE: HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ULINZI NA IKISOMWA BUNGENI

Nukta TV

Fahamu kuhusu Virusi vya ‘Hantavirus’ na nini chanzo chake ?

Fahamu kuhusu Virusi vya ‘Hantavirus’ na nini chanzo chake ?

Nukta TV