Jinsi ya kukabiliana na harufu mbaya ya mdomo

March 2, 2021 10:25 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni kwa kupiga mswaki walau mara mbili kwa siku na kuepukana na matumizi ya sigara.
  • Kupunguza au kuacha kula vyakula vilivyo na sukari nyingi. 

Dar es Salaam. Mara nyingi kwa siku ambazo watu wanakuwa hawajapiga mswaki na kusukutua, baadhi yao huwa huogopa kufungua mdomo na kuongea na watu kwa kuhofia harufu mbaya ya kinywa.

Hilo ni jambo la muda mfupi lakini wapo ambao  tatizo hilo limewasumbua kwa muda mrefu, licha ya kipiga mswaki kila siku.

Kwa mujibu wa Daktari kutoka hospitali moja Mkoani dar es Salaam, Dk. Theresia Venance, njia sahihi ya kuhakikisha mdomo wako hautoi harufu mbaya ni kudumisha usafi wa kinywa chako ikihusisha fizi, meno na ulimi.

“Baadhi ya watu hufanya zoezi la kupiga mswaki kwa haraka. Wanasugua meno tu, basi! Hali hiyo husababisha kubakiza mabaki ya chakula kwenye fizi na saa zingine ulimi na hapo ndipo harufu mbaya ya mfumo wa kinywa inapoanzia,” amesema Dk Venance.

Hizi ni baadhi ya dondoo ambazo mtu anaweza kuzingatia kuepukana na harufu mbaya mdomoni:

                       

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
26 Jul, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
26 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
26 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Nukta TV

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Nukta TV

Mradi wa Sh4.6 bilioni kutoa ahueni ya umeme Lindi, Mtwara

Mradi wa Sh4.6 bilioni kutoa ahueni ya umeme Lindi, Mtwara

Nukta TV