Infografia : Mazingira magumu yanavyohatarisha maisha ya wanafunzi Maswa

January 27, 2022 7:31 am · Herimina
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Wanafunzi 7,788 wa shule za msingi katika Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu wanaishi katika mazingira magumu, jambo linalowaweka katika hatari ya kutozifikia ndoto zao ikiwemo elimu.

Kwa mujibu wa takwimu muhimu za mwaka 2020, katika idadi hiyo, asilimia 94 ambayo ni sawa na wanafunzi 7282 wanatokea katika familia zenye kipato cha chini. 

Hali hiyo inasababisha wanafunzi hawa kupata kwa shida au kukosa mahitaji muhimu ya shule ikiwemo vitabu vya kujisomea pamoja na madaftari.

​Jambo la hatari zaidi ni kuwa wanafunzi 443 wilayani humo wanaishi au kupita katika maeneo ya wanyamapori, hivyo kuwa hatarini kushambuliwa au kuuwawa na wanyama wakali.

 

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

Nukta TV

BoT: Vita Mashariki ya Kati vyaathiri bei ya mafuta na mbolea, soko la dunia

BoT: Vita Mashariki ya Kati vyaathiri bei ya mafuta na mbolea, soko la dunia

Nukta TV

BoT yashikilia CBR 6.25% kudhibiti mfumuko wa bei

BoT yashikilia CBR 6.25% kudhibiti mfumuko wa bei

Nukta TV