Bei ya viazi mviringo haishikiki mkoani Pwani

August 26, 2024 9:52 pm · Hemed Suleman
Share
Tweet
Copy Link

Gunia la kilo 100 la viazi mviringo linauzwa kwa bei ya juu katika mkoa wa Pwani kwa Sh160,000 ikiwa ni karibu mara tatu zaidi ya bei ya chini ya Sh60,000 iliyorekodiwa mkoani Rukwa.

Enable Notifications OK No thanks