Bei ya ngano yang’ang’ania bei juu mkoani Lindi
September 27, 2024 6:15 pm ·
Fatuma Hussein

Bei ya ngano yazidi kupaa mkoani Lindi huku wakazi wa Songwe waendelea kuneemeka na bei ya mahindi baada ya zao hilo kuuzwa kwa Sh 38,000 kwa gunia la kilo 100.
Ngano ni bidhaa muhimu sana katika maisha ya kila siku isitoshe kwa asilimia kubwa vitafunwa kama maandazi, chapati na sambusa hutegemea ngano katika upishi huo.
Latest
5 days ago
·
Waandishi Wetu
Mamilioni kuamua hatma ya Tanzania Uchaguzi Mkuu 2025 leo
5 days ago
·
Mwandishi
Pazia kampeni za uchaguzi lafungwa leo
5 days ago
·
Kelvin Makwinya
Yafahamu majimbo 46 yanayosubiri kura ya ndio au hapana
6 days ago
·
Fatuma Hussein
Kishindo cha wanawake majimboni 2025