Bei ya maharage haishikiki mkoani Dar es Salaam
October 4, 2024 8:00 pm ·
Yuster Massawe

Dar es Salaam leo ndio wananunua maharage kwa bei ya juu zaidi Tanzania, wakinunua kilo moja kwa Sh3,900 sawa na Sh 390,000 kwa gunia la kilo 100, huku wakazi wa Kigoma wao wakila bata ambapo kwa kilo moja hiyo hiyo ya maharage wao wananunua Sh 1,500 sawa na Sh 150,000 kwa gunia la kilo 100.
Maharage ni mboga pendwa kwa watu wenye kipato cha kati na chini ambayo hutumika kusindikiza mlo kama ubwabwa, chapati au ugali.
Latest
5 days ago
·
Waandishi Wetu
Mamilioni kuamua hatma ya Tanzania Uchaguzi Mkuu 2025 leo
5 days ago
·
Mwandishi
Pazia kampeni za uchaguzi lafungwa leo
5 days ago
·
Kelvin Makwinya
Yafahamu majimbo 46 yanayosubiri kura ya ndio au hapana
6 days ago
·
Fatuma Hussein
Kishindo cha wanawake majimboni 2025