Mauzo ya madini nje ya nchi yaongezeka Tanzania

May 25, 2026 10:19 am · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Sekta ya madini nchini imeendelea kuimarika na kuongeza mchango wake katika uchumi wa Taifa, huku mapato ya fedha za kigeni yatokanayo na mauzo ya madini nje ya nchi yakiongezeka kwa asilimia 31.1 katika mwaka wa fedha 2025/26.

Kwa mujibu wa takwimu zilizowasilishwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo Aprili 27, 2026 mapato hayo yaliongezeka kutoka Dola za Marekani milioni 4,119 mwaka 2024/25 hadi Dola milioni 5,401.9 mwaka 2025/26.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
28 Jul, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
28 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
28 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Jinsi afya ya akili inavyowatesa wanawake makazini

Jinsi afya ya akili inavyowatesa wanawake makazini

Nukta TV

Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Nukta TV

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Nukta TV