Misemo iliyoshika kasi mwaka 2025

January 2, 2026 12:30 pm · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link
  • Wahenga hawaamini ni miongoni mwa msemo ulitumika zaidi mwaka 2025.

Dar es Salaam. Mwaka 2025 umekuwa wa kipekee katika muktadha wa matumizi ya lugha ya Kiswahili, ambapo misemo ya jadi ya wahenga imewekwa kwenye mizani na kizazi kipya maarufu kama Gen Z hususan kupitia majukwaa ya kidijitali, wakijadili uhalali na matumizi yake katika maisha ya sasa.

Misemo hiyo haikuwa tu misemo ya kawaida bali ilivuka mipaka ya lugha na kuwa sauti kwa watu wengi wakiitumia wanapokuwa kwenye mitandao ya kijamii, vijiweni, ofisini, na hata kwenye mijadala ya kisiasa.

Kwa kuangalia kiasi ambacho misemo hiyo imeenea na kutumika katika jamii, Nukta habari tumekuletea misemo  iliyovuma zaidi kwa mwaka 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow Us on TikTok

Subscribe to Our YouTube Channel

Subscribe

Loading videos...

Loading videos...

Loading videos...

Enable Notifications OK No thanks