Viwango vya kubadili fedha Tanzania Novemba 12, 2025
November 12, 2025 10:00 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Novemba 12, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest
11 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Mwigulu: Kutangaza idadi ya vifo ni kutonesha vidonda vya Watanzania
11 hours ago
·
Fatuma Hussein
Ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake bado kitendawili duniani
18 hours ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadili fedha Tanzania Novemba 25, 2025
1 day ago
·
Kelvin Makwinya
Fedha za sherehe ya uhuru kukarabati miundombinu iliyoharibiwa Oktoba 29