Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Machi 18,2025
March 18, 2025 9:33 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Machi 18, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

58 minutes ago
·
Lucy Samson
Majaliwa: Mafunzo ya Veta ni muhimu katika kutengeza ajira, kukuza uchumi

22 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Tanzania yazindua Sera ya Ardhi kukabiliana na migogoro kitaifa, kimataifa

1 day ago
·
Lucy Samson
Si kweli: Wezi waiba basi la polisi mkoani Mbeya

1 day ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha za kigeni Machi 17, 2025