Viwango vya kubadili fedha Januari 13,2025

January 13, 2025 11:25 am · Kelvin Makwinya
Share
Tweet
Copy Link

Dola ya Marekani imezidi kuimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania kulinganisha na wiki iliyopita. Katika soko rejareja Dola sasa inauzwa kwa Sh2,449 na kununuliwa kwa Sh2,545 katika Benki ya CRDB. Katika Benki ya NMB, Dola inauzwa kwa Sh2,544 na kununuliwa kwa Sh2,449.

Kuimarika kwa Dola ya Marekani kunazidi kuwa kitendawili kwa wafanyabiashara wanao agiza bidhaa kutoka nje. Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Enable Notifications OK No thanks