Viwango vya kubadili fedha za kigeni dhidi ya shilingi ya Tanzania leo Januari 2, 2025
January 2, 2025 9:33 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Januari 2, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa na huduma kutoka nje ya nchi.
