Viwango vya kubadili fedha za kigeni leo Oktoba24, 2024
October 24, 2024 9:33 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Oktoba 24, 2024.
Viwango hivi, vinavyobadilika kutokana na mwenendo wa soko, husaidia wafanyabiashara, watalii na wale wanaohitaji kulipia ada kwenda nchi mbalimbali kujua thamani ya viwango sahihi vya fedha kila siku.

Similar News
ai.nukta.co.tz/discover →
5 Jun, 2026 · TZS
Masoko
ai.nukta.co.tz/finance →
5 Jun, 2026 · TZS
Market Movers
ai.nukta.co.tz/finance →5 Jun, 2026