Viwango vya kubadili fedha za kigeni leo Oktoba 9, 2024
October 9, 2024 9:38 am ·
Fatuma Hussein
Kwa wale wanaotarajia kusafiri nje ya nchi, wanaohitaji kulipa ada za watoto wanaosoma nje ya nchi, wahasibu, wananuzi na watumiaji wa pesa za kigeni hivi ndio viwango elekezi vinavyotumika leo Oktoba 9, 2024.
Viwango hivi, vinabadilika kutokana na mwenendo wa soko, pia husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa na huduma kutoka nje ya nchi.
