Viwango vya kubadili fedha za kigeni Oktoba 7, 2024
October 7, 2024 12:02 pm ·
Fatuma Hussein
Kwa wale wanaotarajia kusafiri kwa lengo la biashara ,utalii ama kuwasafirisha wagonjwa nje ya nchi hivi ndio viwango elekezi vinavyotumika leo Oktoba 7,2024 kubadili fedha za kigeni.
Viwango hivi, vinavyobadilika kutokana na mwenendo wa soko, pia husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa na huduma kutoka nje ya nchi.

Similar News
ai.nukta.co.tz/discover →
5 Jun, 2026 · TZS
Masoko
ai.nukta.co.tz/finance →
5 Jun, 2026 · TZS
Market Movers
ai.nukta.co.tz/finance →5 Jun, 2026