Viwango vya kubadili fedha za kigeni Septemba 26, 2024
September 26, 2024 11:11 am ·
Fatuma Hussein
Kwa wafanyabiashara, wahasibu, wananuzi na watumiaji wa pesa za kigeni hivi ndio viwango elekezi vinavyotumika leo Septemba 26,2024.
Viwango hivi, vinavyobadilika kutokana na mwenendo wa soko, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa na huduma kutoka nje ya nchi.

Latest
1 week ago
·
Kelvin Makwinya
Vodacom Tanzania yamwaga Sh70 bilioni kuboresha M-Pesa
2 weeks ago
·
Kelvin Makwinya
BoT yabakiza riba ya benki kuu 5.75% licha ya vita Mashariki ya Kati
2 weeks ago
·
Lucy Samson
Vita ya Mashariki ya Kati yazidi kupaisha bei ya petroli, dizeli Tanzania
2 weeks ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Machi 31, 2026