Viwango vya kubadili fedha za kigeni Septemba 05, 2024
September 5, 2024 8:38 am ·
Davis Matambo
Viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania vinavyotumika leo Septemba 05, 2024 huku Dola ya Marekani ikiendelea kuimarika zaidi dhidi ya Shilingi.
Viwango hivi, vinavyobadilika kutokana na mwenendo wa soko, husaidia wafanyabiashara na wadau wengine wanaotumia sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa na huduma kutoka nje ya nchi.

Similar News
ai.nukta.co.tz/discover →
5 Jun, 2026 · TZS
Masoko
ai.nukta.co.tz/finance →
5 Jun, 2026 · TZS
Market Movers
ai.nukta.co.tz/finance →5 Jun, 2026