VIDEO: Jinsi ya kuzuia matangazo unapotumia simu yako
December 4, 2020 1:18 pm ·
Rodgers Raphael
- Ni kwakufuata baadhi ya hatua ili kuzima ruhusa ya tovuti hiyo kukuletea matangazo.
Dar es Salaam. Inakera sana pale unapokuwa una tazama video na tangazo linajipachika kwenye skrini yako bila kujua hata lilipotokea.
Ili kulifutilia mbali tangazo hilo, unahitaji dakika chache tu. ni hatua zipi hizo, tazama video hii inayokupatia maelezo muhimu kwa mujibu wa kituo cha msaada cha Google.
Latest
21 hours ago
·
Fatuma Hussein
Ufahamu ugonjwa wa hantavirus
2 days ago
·
Fatuma Hussein
Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni leo Mei 13, 2026
4 days ago
·
Fatuma Hussein
Usafiri, bidhaa za vyakula vyapaisha mfumuko wa bei kwa asilimia 0.8 Tanzania
5 days ago
·
Fatuma Hussein
Wagonjwa wa afya akili waongezeka kwa asilimia 89, Serikali yaanika mikakati kuwakabili