Vitu vya kuzigatia unapoandaa andiko la biashara

April 28, 2021 8:36 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Kuandaa nyaraka hizo, unatakiwa kuwa na uhakika na unachoandika.

Dar es Salaam. Wakati unaanzisha biashara yako, unaweza kuhitaji kuandaa andiko la biashara (business proposal) kwa ajili ya kutafuta wawekezaji watakaoweka fedha zao katika biashara yako.

Wakati wa kuandaa andiko hilo, yapo mambo ambayo ni muhimu kuzingatia ili wawekezaji wavutiwe zaidi na hatimaye kuwekeza katika biashara yako.

Unatakiwa kuwa na uhakika na unachoandika na kueleza wawekezaji ni kwa namna gani fedha au faida itapatikana.

Kuelewa zaidi juu ya mahitaji ya “business proposal”, tazama video hii:

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Rais Samia azindua minara 758, aacha maagizo mazito juu ya mkongo wa taifa

Rais Samia azindua minara 758, aacha maagizo mazito juu ya mkongo wa taifa

Nukta TV

JAJI MKUU: Njia za asili ni mojawapo ya njia halali za utatuzi wa migogoro

JAJI MKUU: Njia za asili ni mojawapo ya njia halali za utatuzi wa migogoro

Nukta TV

Hesabu ya bosi, bei ya mafuta pasua kichwa madereva wa daladala

Hesabu ya bosi, bei ya mafuta pasua kichwa madereva wa daladala

Nukta TV