CHATI YA SIKU: Kinachofahamika kuhusu utekelezaji wa bajeti ya Serikali mwaka 2017-2018
November 16, 2018 11:45 am ·
Mwandishi
Dar es Salaam. Novemba 6 mwaka huu, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango aliwasilisha Bungeni Jijini Dodoma Mapedekezo ya Mpango wa Maendeleo wa taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2019/2020 ambapo miongoni mwa mambo aliyozungumzia ni utekelezaji wa bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha wa 2017/2018.
Nukta imekuletea kinachofahamika katika mapato yaliyokusanywa na Serikali na matumizi yake
Latest

19 hours ago
·
Fatuma Hussein
Rais Samia amtwisha zigo bosi mpya Tanesco
2 days ago
·
Fatuma Hussein
Wizara ya Mifugo na Uvuvi yaomba bajeti ya Sh476.65 2025/26

2 days ago
·
Fatuma Hussein
Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Mei 23, 2025

5 days ago
·
Kelvin Makwinya
Polisi yawasaka wadukuzi baada ya kuzua taharuki mtandaoni