Rais Magufuli ateua Mwenyekiti mpya Bodi ya uwekezaji wa mapato ya mafuta na gesi
September 26, 2019 10:54 am ·
Mwandishi
Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemteua Dk Leonard Chamriho kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri wa uwekezaji wa mapato ya mafuta na gesi.
Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, imeeleza kuwa uteuzi huo wa Dk Chamriho ni Katibu Mkuu wa Uchukuzi katika Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, umeanza leo (Septemba 25, 2019).
Rais Magufuli amewateua pia Wajumbe wanne wa Bodi hiyo.
U T E U Z I. pic.twitter.com/xJpyz0SPxo
— Gerson Msigwa (@MsigwaGerson) September 26, 2019
Latest
12 hours ago
·
Fatuma Hussein
Mwigulu alaani vitendo vvya uvunjifu wa amani
13 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya Disemba 9
14 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Balozi 16 za EU zalaani yaliyotokea Oktoba 29
15 hours ago
·
Fatuma Hussein
Malaria bado ni tishio duniani, maambukizi yaongezeka