NECTA yatangaza matokeo darasa la saba 2020

November 21, 2020 12:28 pm · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link
  • Shule gani zimekuwa kinara mwaka huu?
  • Wanafunzi wa kike wamefanya vipi mwaka 2020?

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2020 ikiwa ni miezi miwili baada ya watoto hao kuhitimu elimu ya msingi Septemba mwaka huu.

Matokeo hayo yametangazwa leo Novemba 21, 2020 na tayari yameshapakiwa katika tovuti ya baraza hilo www.necta.go.tz.

Mtihani wa darasa la saba ni hatua muhimu katika safari ya elimu ya sekondari na hatimaye elimu ya juu nchini.

Tutakuletea undani wa matokeo yote hayo hivi punde yaliyochambuliwa kwa kina zikiwemo shule 10 bora na wanafunzi waliotikisa mwaka huu.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
6 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
6 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Fahamu kuhusu 'BIPOLAR' | Ugonjwa hatari unaoathiri na kubadili hisia

Fahamu kuhusu 'BIPOLAR' | Ugonjwa hatari unaoathiri na kubadili hisia

Nukta TV

Je, ’BIPOLAR’ ina uhusiano na kupenda kufanya tendo la ndoa zaidi?

Je, ’BIPOLAR’ ina uhusiano na kupenda kufanya tendo la ndoa zaidi?

Nukta TV

Hii ndio sababu uhusiano wa kimapenzi ni marufuku makazini

Hii ndio sababu uhusiano wa kimapenzi ni marufuku makazini

Nukta TV