VIDEO: Fahamu haya kabla haujanunua “makeup”

January 13, 2021 6:44 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kuzingatia melekezo yanayoambatana na bidhaa hizo.
  • Pia, unashauriwa kuongea na wataalamu ili kupata makeup inayokufaa na kuendana na wewe.

Dar es Salaam. Kama wewe ni mdau wa makeup, huenda umekutana na changamoto mbalimbali baada ya kununua bidhaa hizo na kuishia kutokuzitumia tena.

Kwa ambao ni wageni wa msamiati wa makeup, kukuondoa gizani, makeup ni bidhaa za urembo ambazo hutumika na wanawake kwa ajili ya kuwa mwonekano mzuri na mvuto. 

Bidhaa hizo hujumuisha rangi za mdomoni (lipstick), na rangi mbalimbali za usoni zikiwemo “powder” na “foundation”.

Hata hivyo, kuepukana na kufanya makosa wakati wa kununua bidhaa hizo, ni muhimu kuzingatia baadhi ya mambo yakiwemo kuifahamu rangi halisi ya ngozi yako, kusoma vizuri maelekezo ya kutumia bidhaa hizo na kununua bidhaa halisi (original). 

Uzingatie nini kingine, tazama video hii:

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
15 Jun, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Mwenendo wa deni la serikali

Mwenendo wa deni la serikali

Nukta TV

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Nukta TV

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Nukta TV