VIDEO: Epuka fangasi sehemu za siri kwa kufanya haya

March 15, 2021 8:25 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kuhakikisha sehemu zako za siri zinakuwa kavu mara zote.
  • Pia inashauriwa kubadilisha nguo zako za ndani kila siku na kuepuka kuvaa nguo zilizobana.

Dar es Salaam. Hakuna kitu ambacho kinampatia mtu hali ya kutokujiamini kama kuwa na fangasi mwilini kwani kero ya muwasho, harufu mbaya, ukavu wa ngozi na michubuko, siyo jambo rahisi kuvumilika. 

Hali huwa mbaya zaidi pale fangasi hao wanapohamia baadhi za sehemu za mwili ambazo huenda kuzitibu ikawa ni changamoto kwa kuwa mara nyingi sehemu hizo hufunikwa na nguo na hivyo kupata joto kwa urahisi ikiwemo sehemu za siri. 

Kwa mujibu wa tovuti ya healthline inayoozungumzia masuala ya afya, kupata fangasi sehemu za siri ni rahisi kwa sababu fangasi huhitaji maeneno yaliyo na joto na unyevu ili kuishi.

Mara nyingi maeneo ya ndani ya mapaja, sehemu za makalio na sehemu za siri ni maeneo yanayopata fangasi kwa urahisi.

Kuepukana na hali hiyo, inahitaji mtu kukausha sehemu zake za siri mara baada ya kuoga na pia inashauriwa kama mwili wako unatoa jasho kwa wingi, paka poda ya watoto ili kuepusha unyevu sehemu hizo:

Njia zingine ni zipi? Tazama video hii

                     

/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
25 May, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
25 May, 2026
No active movers today
Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
MIKOA 5 YA KIPOLISI INAYOONGOZA KWA MAKOSA BARABARANI

MIKOA 5 YA KIPOLISI INAYOONGOZA KWA MAKOSA BARABARANI

Nukta TV

SERIKALI YAKAMILISHA MAZUNGUMZO MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA

SERIKALI YAKAMILISHA MAZUNGUMZO MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA

Nukta TV

🔴LIVE: KAPINGA AKIWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA 2026/2027 BUNGENI.

🔴LIVE: KAPINGA AKIWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA 2026/2027 BUNGENI.

Nukta TV