Zingatia haya kabla hujaanza kufanya ‘diet’

March 27, 2021 6:18 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kuonana na mtaalamu wa masuala ya lishe ili kufahamu vyakula vipi vitakufaa.

Dar es Salaam. Kupunguza mwili huenda ni sehemu ya ratiba ya baadhi ya watu hasa pale anapoona uzito wa mwili unapita kiwango cha kawaida.

Baadhi huchagua kufanya mazoezi ili kupunguza uzito lakini wapo ambao huchagua njia ya kupunguza kiasi cha chakula wanachokula  ili kupunguza kasi ya kuongezeka uzito.

Hata hivyo, katika uchaguzi wa kupunguza chakula, umakini unahitajika kuhakikisha kuwa afya yako inabaki kuwa katika mstari na mwili unapata virutubisho stahiki kulingana na mahitaji yake.

Ufanye nini kuhakikisha unakuwa na “diet” ambayo haiingilii afya yako? Tazama video hii kujifunza;

                     

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
16 Jul, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
17 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
17 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Magonjwa haya matano yanayoongoza kwa kuua watu duniani

Magonjwa haya matano yanayoongoza kwa kuua watu duniani

Nukta TV

Mambo yakuzingatia kabla ujawasha gari lako asubuhi

Mambo yakuzingatia kabla ujawasha gari lako asubuhi

Nukta TV

Kutana na ‘Poultry Plucker’, mashine inayonyonyoa kuku watatu kwa dakika moja

Kutana na ‘Poultry Plucker’, mashine inayonyonyoa kuku watatu kwa dakika moja

Nukta TV