Kicheko, maumivu: Hotuba ya Rais Samia mei mosi katika namba
May 1, 2021 12:42 pm ·
Mwandishi
Dar es Salaam. Leo Mei Mosi ni Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa imefanyika mkoani Mwanza na kuhudhuriwa na wafanyakazi na viongozi mbalimbali wa Serikali na taasisi binafsi.
Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyekuwa mgeni rasmi. Amezungumza mambo mbalimbali kuhusu kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa umma na binafsi ikiwemo kupunguza kodi ya mshahara hadi kufikia asilimia nane kutoka asilimia tisa.
Hata hivyo, ameahidi kupandisha mishahara ya wafanyakazi mwakani baada ya ugonjwa wa corona kuathiri kasi ya ukuaji wa uchumi Tanzania. Yapo mengi aliyozungumza katika hotuba yake, tazama infografia hii
Latest

18 hours ago
·
Fatuma Hussein
Rais Samia atoa maelekezo kwa mahakama ataka maboresho zaidi katika utoaji haki

21 hours ago
·
Lucy Samson
Noti 22 za fedha kusitishiwa matumizi kuanzia leo Tanzania

2 days ago
·
Lucy Samson
Dk Nchimbi aikosoa “No reform no election” asema hakuna wa kuzuia uchaguzi

2 days ago
·
Esau Ng'umbi
Riba ya benki kuu Tanzania yabakia 6% kwa mara ya nne mfululizo