Vituo vinavyotoa chanjo ya Uviko-19 Geita

August 16, 2021 8:10 am · Clifford
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Kama uko katika Mkoa wa Geita na una sifa za kupata chanjo ya Corona, Serikali imeweka vituo 18 katika Halmashauri zote sita za mkoa huo ili kutoa fursa kwa watu kuchanjwa.

Kumbuka chanjo husaidia kumkinga mtu na maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19. Kwa sasa, Tanzania inatumia chanjo aina ya Johnson & Johnson ambayo mtu anayechanjwa anapatiwa dozi moja tu.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

Nukta TV

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

Nukta TV

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Nukta TV