Sekta ya utalii yaanza kuimarika Zanzibar

August 25, 2021 6:21 am · Herimina
Share
Tweet
Copy Link

Dar es salaam. Sekta ya utalii visiwani Zanzibar imeanza kuimarika tena baada ya kuathiriwa na janga la Uviko-19.

 Kwa mujibu wa ripoti ya 16 ya hali ya uchumi wa Tanzania mwaka 2021 ya Benki ya Dunia, sekta hiyo ilianza kuimarika taratibu katika robo ya nne ya mwaka 2020.

Kufikia Desemba mwaka 2020, watalii waliongia Zanzibar walikuwa takriban asilimia 80 ya wale walioingia 2019. Licha ya uimarikaji huo, ripoti inaainisha kuwa mapato yatokanayo na utalii yalishuka kwa asilimia 38 mwaka 2020.

Follow Us on TikTok

FOLLOW NOW

Subscribe to Our YouTube Channel

SUBSCRIBE NOW