Njia mbadala za kusherehekea mwaka mpya

January 1, 2022 7:40 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kuandaa michezo ya kumbukumbu na uthubutu na uwapendao.

Dar es Salaam. Kila mtu ana njia zake za kusherehekea sikukuu ya mwaka mpya, wengine hupendelea kuwa kwenye mkesha kanisani ili waanze mwaka wakiwa na Mungu wanayemwamini.

Kwa wengine, ni kuwa na familia zao, jamaa na rafiki wakichoma nyama, kupoza makoo kwa vinywaji baridi. Lakini kwa wengine, huenda hata siku hiyo haina maana. Ni siku kama zilivyo siku nyingine.

Umewahi kujiuliza kama kuna njia za kusherehekea mwaka mpya tofauti na ulivyozea? Kama bado, basi upo mahali sahihi. Zifuatazo, ni njia mbadala za kusherehekea sikukuu ya mwaka mpya:

Unaweza kuanza mwaka kwa kufanya unachokipenda zaidi. Kama wewe ni mtu wa mpira, huenda ni muda wako kujizawadia vifaa vya kuchezea mpira kwa mwaka 2022.

Itakuwa ni mwanzo wa wewe kuijali furaha yako. Njia zingine ni kuandaa usiku wa kumbukumbu na rafiki zao au familia. Unaweza kuwa usiku wa michezo ya uthubutu, michezo ya kusema ukweli na usiku wa kusahau yaliyopita kwa kuomba msamaha pale ulipokosea.

Kwa uelewa zaidi, tazama video hii:

      

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
4 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
4 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
🔴 LIVE: WABUNGE WAKIMCHAPA MASWALI MAZITO WAZIRI MKUU BUNGENI

🔴 LIVE: WABUNGE WAKIMCHAPA MASWALI MAZITO WAZIRI MKUU BUNGENI

Nukta TV

TANTRADE: Tumieni vifungashio vya "Made in Tanzania"

TANTRADE: Tumieni vifungashio vya "Made in Tanzania"

Nukta TV

Nukta Africa ndani ya Africa Agri Expo 2026

Nukta Africa ndani ya Africa Agri Expo 2026

Nukta TV