Mambo ya kuzingatia unapoanza kutumia simu ya iPhone

January 26, 2022 1:44 pm · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Atatakiwa kutengeneza maalum (Apple ID).
  • Utalazimika kununua baadhi ya programu tumishi ikiwemo Spotify.

Dar es Salaam. Huenda unataka kununua simu mpya na macho yako yapo kwenye simu za iPhone ambazo zinatumia mfumo endeshi wa IOS.

Tunaposema IOS ni sawa na kusema Android kwenye simu kama Samsung, Tecno na Infinix.

Kwa ufupi, IOS na Android, ni mifumo inayosababisha simu kufanya kazi. 

Unachotakiwa kujua ni kuwa ukichagua kununua iPhone, hautokuwa sawa sawa na mtu anayetumia simu za Android. Kuna mambo ambayo kwenye Android yapo ambayo kwenye simu za iPhone hayapo.

Kati ya mambo ya muhimu kufahamu ni kuwa kwenye simu za iPhone hauwezi kufanya baadhi ya vitu unavyoweza kufanya kwenye simu za Android ikiwemo kupakua muziki na kuuweka kwenye simu na badala yake, utapakua app kama Apple Music, Deezer na Spotify ambazo utatakiwa kuzilipia.

Ufahamu mambo gani mengine? Tazama video hii.

Follow Us on TikTok

FOLLOW NOW

Subscribe to Our YouTube Channel

SUBSCRIBE NOW