Zifahamu njia za kujikinga na saratani ya shingo ya kizazi
January 14, 2023 11:26 am ·
Lucy Samson

- Njia hizo ni pamoja na kupata chanjo, kufanya uchunguzi wa mapema, vipimo pamoja na matibabu.
- WHO inasema utambuzi wa mapema wa ugonjwa huo unaweza kupunguza idadi ya vifo vya kila mwaka vitokanavyo na saratani hiyo.
Dar es Salaam. Kila mwaka mamilioni ya wanawake hupoteza maisha kutokana na kansa ya shingo ya kizazi, jambo la faraja ni kwamba zipo njia zitakazo kuwezesha kuepukana na madhara ya ugonjwa huo ikiwemo kifo.
kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) uchunguzi na matibabu ya mapema ya ugonjwa huo yanaweza kunusuru vifo vya wananwake wengi.
“Saratani ya shingo ya kizazi inazuilika, lakini upatikanaji duni wa kinga, uchunguzi na matibabu huchangia asilimia 90 ya vifo,”inasema WHO.
Latest
12 hours ago
·
Lucy Samson
TMA: Mvua kubwa kunyesha kesho katika mikoa mitano
17 hours ago
·
Lucy Samson
Jenista Mhagama afariki dunia
2 days ago
·
Fatuma Hussein
Jeshi la Polisi: Hali ya usalama ni shwari Tanzania
2 days ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadili fedha Tanzania Desemba 10, 2025