Hali halisi ya utoaji chanjo ya Uviko-19 barani Afrika
February 16, 2023 8:27 am ·
Daniel Samson
Dar es Salaam. Wahudumu wa afya wanne kati ya 10 katika nchi 23 za Afrika wamepata dozi kamili ya chanjo ya Uviko-19, jambo linalosaidia kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa huo.
Latest

2 days ago
·
Fatuma Hussein
WHO: Watu zaidi ya milioni 300 duniani wanahitaji msaada wa afya ya akili

3 days ago
·
Lucy Samson
Wizara ya Elimu yatangaza ufadhili wa masomo Russia

3 days ago
·
Fatuma Hussein
Marekani yaiwekea Tanzania masharti dhamana ya viza

3 days ago
·
Lucy Samson
Habari za uzushi zinavyoweza kuathiri uchaguzi wa kidemokrasia